binafsi naoenda sana wanawake tatizo moja sijui niseme tatizo au nin nachagua sana me ni perfectionist so huwa natafuta mademu viwango ambao wako fresh kila idara hiyo imenisaidia kidogo kuokoa muda na kuniokoa na magonjwa maana kwa mwaka naweza kukutana labda na mademu watano hiv ambao naweza nikafikilia kula mzigo wengi unawaona wakali ukiongea nao unaona kichwa kimejaa shit weupe kabisa.Vp madem unawagonga sanaa
Ila watakuwa wachoyo sana na pesa zao...Kuna watu nawajua wana pesa hawanywi pombe wala wanawake
Ila watakuwa wachoyo sana na pesa zao...
Pombe haina shida sanaa kama unakunywa kiasiNimekua nimeona jinsi pombe ilivyoharibu haribu maisha ya baba zangu na jinsi gani ilitaka kuharibu ukoo kabisa siwez kuweka pombe mdomoni kabisa , yani ndugu kila wakitaka kukutana bar, kukiwa na msiba watu wanatafuta bar iliyokaribu , kukiwa na sherehe watu wanashinda bar, ndugu wanaitwa mkutano wanafikia kwanza bar , baada ya kunywa hapo ni masengenyo yanaanza wanaume wazima wanaanza ku discuss family za wenzao wanatukanana wanapigana kesho wanaongea tena yani pombe imeleta majungu , imerudisha nyuma maendeleo anayependa pombe yeye anywe tu me no.
Kweli mkuu mi pombe inanipa sanaa furaha.. na kuwaza mambo makubwa nikiwa na jamaa yangu rafiki yangu kipenzi tunapanga mambo tukiwa tunakunywa kwanzaSababu yako iko Genuine sana.
Tofauti na upande wangu,mimi nimeona pombe inavyowafurahisha ndg zangu wakikutana na ku-discuss mambo yao kwa furaha na amani.
Kwahiyo hao jamaa wana sample watoto wakali wa kutanua nao....Sasa hao wakina mo wahindi, na hao bareksa ni mwarabu, ushawai waona bar?
Pesa kula na mwanamke ndo tamu, ukila sijui na mtoto wa uncle hata 10,000 inaisha kwa tabu sanaaa
Ila ukila na kina Nancy , 30,000 ni jambo la dakika 10 tu.
tangu nimezaliwa sijawai kuonja pombe wala kutamani pombe nimekaa na marafiki ambao wanakunywa tena wanazungusha round ya nguvu lakini me binafsi nimeapa sitokuja kuweka pombe mdomoni wala kuwa na mwanamke anayetumia pombe.