eliesikia JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 787 Reaction score 758 Dec 27, 2010 #1 Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21 Samahani kwa usumbufu
Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21 Samahani kwa usumbufu
U utiyansanga JF-Expert Member Joined May 19, 2010 Posts 213 Reaction score 7 Dec 28, 2010 #2 Tgs tanzania goverment scale
chokambayaa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 546 Reaction score 69 Dec 28, 2010 #3 eliesikia said: Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21 Samahani kwa usumbufu Click to expand... Ukianza kazi serikalini na first degree yako Unapata TGS E kama laki tano na ushee F kama sita na ushehe kwa wanasheria na madocta ila wahasibu TGS D kama laki nne hivi na ushehe upo hapo mtu wangu!!!
eliesikia said: Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21 Samahani kwa usumbufu Click to expand... Ukianza kazi serikalini na first degree yako Unapata TGS E kama laki tano na ushee F kama sita na ushehe kwa wanasheria na madocta ila wahasibu TGS D kama laki nne hivi na ushehe upo hapo mtu wangu!!!