Mkoa wa Mwanza ni Kati ya Mikoa ambayo Rais Samia amewapendelea sana Kwa kuimiminia miradi lukuki tena ya mabilioni Kwa mabilioni. Miradi hiyo imegawanyika katika mafungu Makuu 3 ambayo ni a)Miradi ya Urithi kutoka awamu ya 5,iliyokamilika na inayoendelea. b)Miradi Mipya iliyoanza awamu ya 6...