comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Nimeshasema hapo, tamthilia NI moja tu, nyingne hamna kitu, Yani unalipia elfu28 Kwa ajili ya kobisi tuu na NBC? Kama hivi msimu WA Mpira imeisha unabak na kikala ausioKuna watoto wa mzee Kikala. Kobisi na wenzake
Channel zipo nyingi sio lazima uangalie michezo na tamthiliyaNimeshasema hapo, tamthilia NI moja tu, nyingne hamna kitu, Yani unalipia elfu28 Kwa ajili ya kobisi tuu na NBC? Kama hivi msimu WA Mpira imeisha unabak na kikala ausio
Kama zipi?Channel zipo nyingi sio lazima uangalie michezo na tamthiliya
Hiyo kawaida Sana bado sijaona kitu cha tofautiBila kusahau cheka tu, ya coy mzungu
Sio lazima uangalie zote muda mwingine weka safari ChanelKama zipi?
Ukitoa mpira, Azamtv inasikitisha sana.Kama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za Kiswahili, lakini sasahivi ni kutwa nzima wanaweka tamthilia ambayo nzuri ni moja tuu.
Ukitoa Mpira wa kibongo startimes NI Bora kuliko Azam TV
NI wakati sasa wa kununua DSTV au STARTIMES.
Wenye DSTV vipi na huko? Au nihamie STARTIMES??
ZipoNa siku hizi zile MBC channels wameziondoa
Wewe sasa ndio umeongea ukweli, ukitoa league ya bongo startimes Wana channel nzuri kuliko azamUkitoa mpira, Azamtv inasikitisha sana.
Hawana channel za maana, wanaokota machanel ya bure ambayo yanapatikana bure hata ukitumia madishi unapata bure wao wanauza
Emmanuel TV, Peace na zingine hizi hupatikana bure ila wao wanauza
Ukitoa mpira wa Ulaya, DStv kuna nini?NI wakati sasa wa kununua DSTV
Startimes labda tamthiliaau STARTIMES.
Wenye DSTV vipi na huko? Au nihamie STARTIMES??
Ukitoa mpira wa Ulaya, DStv kuna nini?
Startimes labda tamthilia
huwezi linganisha DStv na Azam Acha ushabikiUkitoa mpira wa Ulaya, DStv kuna nini?
Startimes labda tamthilia
Mkuu kuna movies,documentaries na ligi nyinginezo nje ya NBCPL Kama MLS,Jupiler Pro,Carabao nkNimeshasema hapo, tamthilia NI moja tu, nyingne hamna kitu, Yani unalipia elfu28 Kwa ajili ya kobisi tuu na NBC? Kama hivi msimu WA Mpira imeisha unabak na kikala ausio
Hamna kizuri hapo cha kushangaza vyote vya kawaidaKuna wafcon
Fifa club world cup
Taifa cup(basketball)
Job vs Kibwana
Vitasa live
Viwanjani live
Mshike mshike
MBC na MBC Max
Azam anauza kwasababu ya mpira ila ukitoa mpira ukaweka Azam na Startimes. Startimes atauza kuliko Azamtv.Wewe sasa ndio umeongea ukweli, ukitoa league ya bongo startimes Wana channel nzuri kuliko azam
MBC, MBC Max na Action ni channel za kawaida sana. Ukiwa na dishi za kawaida unazipataKuna wafcon
Fifa club world cup
Taifa cup(basketball)
Job vs Kibwana
Vitasa live
Viwanjani live
Mshike mshike
MBC na MBC Max