Uli fanya vema, maaan hujui hela zake hupataje na anaenda kufanyia nini.kuna siku network ilikuwa inazngua, sasa kuna bidada mmoja alifanya muamala ila haukukamilika kadi ikatoka, ye akaondoka ile naingia mim nikakuta machine ya pembeni inacount pesa after a seconds mihela hiyo ikatoka, nikaangalia kushoto kulia hamna mtu sema mchawi alikuwa camera tu ikabidi nimwambie mlinzi, ile natoka tu namuona bidada anarudi anasema ametumiwa SMS kuwa katoa hela
Sasa pata picha, umetoa laki tatu na ishirini, risiti inaonyesha ni laki tatu na iahirini, lakini kuja kuhesabu unakuta ni laki tatu kamili.
Utamdai nani.?![emoji23]
Kuesabu- kuhesabuni vizur tukajenga utamadun wa kuesabu
Wee inakosea sana tu, unaweza kukuta unaondoka na 80,000 badala ya laki..Ngoja wenye atm waje
atm haikosei hata iweje