Hivi ukiwa DJ kwenye ukumbi wa harusi hlafu ex wako ndio bibi/bwana harusi utampigia nyimbo gani?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Yaani uko kwenye shughuli ukumbini alafu wewe ndio dj wa shughuli ile shughuli inaanza ndo unagundua ex wako mlioachana ndio bwana/bibi harusi je?nyimbo utakazo piga ni hizo hizi kama ulivyozipangilia au utabadilisha aina ya nyimbo?karibuni kutiririka.
 
Hujawahi kuwa DJ wewe ndio mana unawaza little things...

DJ anapaswa kuwa na chungu chenye hit songs.

Kuna nyimbo za kuingilia wageni wa ukweni
Nyimbo za msosi..
Nyimbo za kupeana zawadi..

N.k n.k

Hebu njoo nikuuzie gari used kwa milioni 5 ukafurahie maisha

0744033555 DSM
 
Leta specifications za hilo gari
 
Hujawahi kuwa DJ wewe ndio mana unawaza little things...

DJ anapaswa kuwa na chungu chenye hit songs.

Kuna nyimbo za kuingilia wageni wa ukweni
Nyimbo za msosi..
Nyimbo za kupeana zawadi..

N.k n.k

Hebu njoo nikuuzie gari used kwa milioni 5 ukafurahie maisha

0744033555 DSM
Nitakucheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U DJ ni kazi kama kazi zingine kwaio unatakiwa uweze kutofautisha kati ya kazi na maswala binafsi
 
Back
Top Bottom