Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Ndioooo
baibuiili iweje? kama wewe mzuri ni mzuri tu hata ukivaa buibui, kujionyesha utupu ni kujishushia hadhi katika jamii.........
Wasipokaa uchi watapataje umaarufu? Wataandikwaje kwenye magazeti ya shigongo?
Wala sio kuiga tamaduni za watu mbona beyonce au rihanna na wengine wengi wenye majina huko mbele hawajidhalilishi hvyo.. Hao wanatafuta soko kwa nguvu.. Washakua wengi so kila mtu ana style yake ya kuvuta wateja