Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 594
- 691
Nimeisha anzisha nyuzi nyingi zinapuuzwa hadi nimeamua kuwa msomaji tu.
Halafu nyuzi za topic za kipuuzi ndizo zinachangiwa kwa wingi. Jf is not the samweNimeisha anzisha nyuzi nyingi zinapuuzwa hadi nimeamua kuwa msomaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ulishapuuzwa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
TrueMara nyingi tu nyuzi zinapuuzwa. Muda mwingine unaweza ukafikiri ni wewe peke yako. Muhimu jifunze kuwa kawaida kwa yanayotokea mbele yako,yawe negative au positive. Ukitaka nyuzi za kuchangamkiwa humu andika kinachohusu “kugegedana”
Mara nyingi tu nyuzi zinapuuzwa. Muda mwingine unaweza ukafikiri ni wewe peke yako. Muhimu jifunze kuwa kawaida kwa yanayotokea mbele yako,yawe negative au positive. Ukitaka nyuzi za kuchangamkiwa humu andika kinachohusu “kugegedana”
Ukweli ni upi mkuu Ronaldinho?Sio kweli mkuu.