ebwana wee siku hizi naona kwamba most ladies ukiwagusa wanakwambia kuwa ana bf au just from a relationship. sasa wewe kama ndio unaingia kwenye mahusiano ulishawahi kujiuliza uhusano wa mwhisho wa huyo mwanamke kweli uliisha on gud terms ama vipi? je kama bado kuna mafeelings hapo niaje?
Mh jaman nyie mnaanza chapter mpya background zenu ziweken pemben ni irrelevant kwenu kwa ss. cha msing labda mpime hiv tu! there aft maisha mengine yanaendelea lol. cheerz. g9t.
Itasaidia kama atakufaa kama una mpango wa kuishi naeukijiuliza inasaidia nini?
mla mla leo
mla jana kala nini????
weeee....hiyo ni very relevant obsesd maana wanaweza kuwa wanasema wameachana kumbe wamebakia kuwa hawara ssa wewe utakuwa unajienjoy na huyo jamaa...loh!!! sitaki mie