Dume Jembe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 707
- 774
Hivi nyege ni ke au me tafadhariNyege ni kitu mbaya sana.
Ukiamka na nyege utatafuta kila contact ya jinsia ke mnyegeshane ikiwezekana kuomba kula tunda
Wadada wengine ni wabovu ila kutuliza nyege unaona sawa
Ukikosa unakuja kuomba uchumba JF
njoo inboxAcha tuu,miaka ya nyuma kipindi nakunywa pombe niko Dodoma kikazi,naamka na hangover kali na u bore umedindaa,namuita mama fua(47),namuomba kei kwa kumtangulizia hela,namuweka kavuuuuuuu anarudi kwa bwana ake,nika fall,*****
Nyege ni kipimo cha utu wa mtu, unakuta mwingine anaamka na nyege huku akitahamaki na kuhema kama alikuwa anakimbizwa, na kama hana mtu wa kumpigia simu kuomba gegedo kutokana na sababu zake mwenyewe basi anakwenda kutega nzi chooni kwenye mfuko wa rambo. Nzi wakijazana kwenye mfuko anaufunga taratibu ili nzi wasitoroke kisha anaingiza dushe lake kwenye huo mfuko. Vile nzi wanaporukaruka na kugusa kichwa cha lile dushe,, kijana wa Dar anavuta hisia na kujikojolea huku akiua nzi. Mchezo huu wa kubaka nzi unafanywa sana na vijana wa Dar, Pemba, Tanga na Zanzibar.Nyege ni kitu mbaya sana.
Ukiamka na nyege utatafuta kila contact ya jinsia ke mnyegeshane ikiwezekana kuomba kula tunda
Wadada wengine ni wabovu ila kutuliza nyege unaona sawa
Ukikosa unakuja kuomba uchumba JF
Alishapitia na ndiyo maana anakuambia wewe bado kijana.Kwamba kaka Mshana wewe hujawahi kuamka nazo 😂?
Sawa, siwezi kukubishia mkuu 😅Alishapitia na ndiyo maana anakuambia wewe bado kijana.
Inawezekana kabisa mtoa mada ndo wale vijaa wa rika balehe ambao Bado hawana majukumu ya mikiki mikiki ya familiaBado wewe ni kijana na huna majukumu
Jiweke bize,jishughulishe na usikae mda mrefu sehemu moja,yataondoka mawazo hayo potofu.Nyege ni kitu mbaya sana.
Ukiamka na nyege utatafuta kila contact ya jinsia ke mnyegeshane ikiwezekana kuomba kula tunda
Wadada wengine ni wabovu ila kutuliza nyege unaona sawa
Ukikosa unakuja kuomba uchumba JF
Nashanga unasema ngono upumbavu laki tukitoa ngono hapa dunia i sidhani kama watu watatamani kuishiTukisema umri wa kuoa ni miaka 18 watu wanasema bado mdogo sana. Ona sasa akili ina nguvu na hakuna pa kujiwekeza kanaamka na kuwaza umalaya na ngono tu pumbavu kabisa.
Unachanganya ngono na mapenzi. Ukitoa ngono yanabakia mapenzi.Nashanga unasema ngono upumbavu laki tukitoa ngono hapa dunia i sidhani kama watu watatamani kuishi
Ngono si sex ama ni nini?Unachanganya ngono na mapenzi. Ukitoa ngono yanabakia mapenzi.
Ngono ni mfumo wa mahusiano unaoendeshwa nje ya maelekezo ya muumba,kwa kifupi kwenye ngono ndipo kila uchafu upo.
Mapenzi ni mpango wa MUNGU, mara nyingi watu wakifanya ngono husema wanafanya mapenzi. Ukiwa kitandani na mkeo wa ndoa hapo mnafanya mapenzi, ukiwa na yule demu ambaye wazazi wake hawakufahamu na haukuwahi tambulishwa kwao wala kumposa, wewe ni unafanya ngono na mwanamke sio mapenzi.
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".
Ndugu tenga muda wa kumjua MUNGU huu ulimwengu hautakupelekesha hivi.
Unaweza kuita hivyo. Lakini tukitumia lugha moja ya kiswahili tutatumia ngono,tendo la ndoa na kufanya mapenzi.Ngono si sex ama ni nini?
Kwani mke na mume hawafanyi sex
😂😂😂😭😭Lucas mwashamba changamkia fursa mkuu