mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,027
- 1,750
Hahahhaahhaa...haahhahahaa....ila dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukimkuta jamaa kalala kitandani, unamuona kama hivi tu! [emoji23][emoji23]
Tutafuteni hela wanaume maana hata kuumbwa kwetu hatuna msaada wa make up wala Maskara Kama wewe Ni sura mbaya kitakachokuokoa ni hela yako tu.
Tumekusikia tutatafuta hela.. Tunaapa! [emoji16]View attachment 1716286
Hivi na sisi wanaume tungeamua kudate na wanawake wenye pesa zao,una uhakika na wewe ungekua na Boyfriend wako kweli?Mimi mpaka muda huu nimegundua wanaume hampendezi kuwa broke...yaan mwanaume hapendezi kbs kuwa alosto apeche alolo...raha ya mwanaume hata ukiomba 50000 anaitolea mbele ya mfuko wa shati..sijui kama mnaelewa...
Raha ya mwanaume awe anachaj akili fast za kuongeza kipato..mwanaume alopoa hana hela wanaboa hata akipumua unataman akate pumzi
Tabia mbayaMimi mpaka muda huu nimegundua wanaume hampendezi kuwa broke...yaan mwanaume hapendezi kbs kuwa alosto apeche alolo...raha ya mwanaume hata ukiomba 50000 anaitolea mbele ya mfuko wa shati..sijui kama mnaelewa...
Raha ya mwanaume awe anachaj akili fast za kuongeza kipato..mwanaume alopoa hana hela wanaboa hata akipumua unataman akate pumzi
Pesa kama pesa? Nisingekosa..Hivi na sisi wanaume tungeamua kudate na wanawake wenye pesa zao,una uhakika na wewe ungekua na Boyfriend wako kweli?
Hahahaa umesahau ww ulichosema huko juu😇🤣Tabia mbaya
Pesa sio kila kituKwamba unapokuwa na furaha saana, muda unaenda haraka sana na unapokuwa na huzuni muda unaenda taratibu sana.
Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Nimegundua wanawake wafupi wana gubu Sana ukilinganisha na wanawake warefu.
Au hivi ulishawahi kugundua kwamba wanaume na wanawake wote tuna chuchu ingawaje inamaanisha kabla ya kuwa wakiume au wakike tulianza kuwa wakike kama zygote Hadi pale Y chromosome ilipoingia na kuamua tuwe jinsia ya kiume na wengine wawe wa kike.
Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi upigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
Wewe kitu gani ulishawai kukigundua?
Nini tofauti ya ubongo na mind?Inakua sio ubongo ni Mind..
Ukipata jibuNini tofauti ya ubongo na mind?
Aisee hizi hela zimesingiziwa kila kitu sasaNilichogundua siku nikiwa na hela huwa sihisi njaa na sijiskii kula, balaa ni siku nikiwa sina hela huwa nahisi kama nina njaa ya mwaka mzima.
Ulishwahi kufa? Tuanzie hapo kwanzaNyingine ni kuhusu KUFA
- Kile kitendo cha kukata roho huwa hakina tofauti na kuingia kwenye usingizi mzito sana.
Nafikiri, tofauti na imani ya wengi, kukata roho hakuumi na inawezekana ikawa ni kama kutua mzigo mzito uliokuelemea kwa muda mrefu; ama vile unajisikia unapooga baada ya kufanya kufanya mazoezi makali.
Mimi nishawaza huenda kile kitendo cha mtoto mchanga kulia pindi tu anapozaliwa ni anakufa kwenye maisha mengine aliyokuwa anaishi sasa kwa uchungu wa kuacha maisha hayo mengine analia baada ya kuja kwenye dunia huu na kuanza maisha mapya
katafute zako na mi zangu. kila mmoja akule za kwake! mwanamke anayeamini katika kupewa hela ni yule tu hajajikomboa kimtazamo wa kuamini ni chombo cha starehe. fikiria juu ya mwanamke mwenye sura nzuri na pesa zake za kutosha, anajitaftia.Ukimkuta jamaa kalala kitandani, unamuona kama hivi tu! [emoji23][emoji23]
Tutafuteni hela wanaume maana hata kuumbwa kwetu hatuna msaada wa make up wala Maskara Kama wewe Ni sura mbaya kitakachokuokoa ni hela yako tu.
Tumekusikia tutatafuta hela.. Tunaapa! [emoji16]View attachment 1716286
umenikumbusha babu yangu alikufa nikishuhudia taratibu masaa 4 hiv anatuaga aga. ila nahis kufa kunauma, kwanini weng urusha miguu na kupambana asiende kule?Nyingine ni kuhusu KUFA
- Kile kitendo cha kukata roho huwa hakina tofauti na kuingia kwenye usingizi mzito sana.
Nafikiri, tofauti na imani ya wengi, kukata roho hakuumi na inawezekana ikawa ni kama kutua mzigo mzito uliokuelemea kwa muda mrefu; ama vile unajisikia unapooga baada ya kufanya mazoezi makali.
hata wanaume wafupi, kifupi watu wafupi ni balaa tupuNimegundua wanawake wafupi wana gubu sana ukilinganisha na wanawake warefu.