Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Ulishwahi kufa!??? Tuanzie hapo
Ulishwahi kufa!??? Tuanzie hapo kwanza
ume
umenikumbusha babu yangu alikufa nikishuhudia taratibu masaa 4 hiv anatuaga aga. ila nahis kufa kunauma, kwanini weng urusha miguu na kupambana asiende kule?
Mimi nimegundua hiki ulichokiandika hapa na nimefurahi sana! I deeply respect and to a geater extent, love mothers; any mother in that respectSiku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kitu nilichogundua kwenye maisha, sometimes kuna watu unawaona kabisa unawazidi vitu vingi tu kama ELIMU au KIPATO lakini unashangaa WAO wana FURAHA kuliko wewe [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matatizo yana kawaida ya kuurefusha muda ili dawa iingie kisawasawa
Dah aya maisha bhana, sasa aya maisha yanataka nini zaid mana watu wapo bize sana kusaka mpunga lakini mwisho wa siku watu hawana furaha na hizo pesa upande wa pili wasio na pesa uwa na furaha sana sasa nashindwa kuelewa mustakabali wa aya maishaKuna kipindi nilikua nasikia watu wakisema, nmesoma maandiko tofauti tofauti yanayoelezea kwamba furaha hailetwi na vitu,nilibishana sana et mtu kama mo anakosaje furaha?? ila sasa najua furaha siyo vitu, na wenye vitu vingi ndio watu wasio na furaha zaidi
Well said.Déjà vu is the feeling that one has lived through the present situation before. This is a French phrase that translates literally as "already seen."
siri kubwa ya furaha ni kuridhika na ulichonacho,"maskini"wengi wameridhika na kidogo walichonacho ndo maana wanafuraha, ila matajiri wengi kila siku wanawaza zaidi.. kuna wimbo wa Passenger anasema "when you have nothing,you have nothing to lose"Dah aya maisha bhana, sasa aya maisha yanataka nini zaid mana watu wapo bize sana kusaka mpunga lakini mwisho wa siku watu hawana furaha na hizo pesa upande wa pili wasio na pesa uwa na furaha sana sasa nashindwa kuelewa mustakabali wa aya maisha
Kabisa mkuu ndio maana nikiangalia watu ambao wana vipato vya chini wana injoi sana maisha kulinganisha na wenye pesa zao any way kuna kitu nimekipata hapasiri kubwa ya furaha ni kuridhika na ulichonacho,"maskini"wengi wameridhika na kidogo walichonacho ndo maana wanafuraha, ila matajiri wengi kila siku wanawaza zaidi.. kuna wimbo wa Passenger anasema "when you have nothing,you have nothing to lose"
pita uswahilini uko hutaamini,mtu anaishi chumba ambacho huwez kulaza ata gari yako humo maana mda wowote kinadondoka, bonge la ufaa, lakin hajal wala hawaziKabisa mkuu ndio maana nikiangalia watu ambao wana vipato vya chini wana injoi sana maisha kulinganisha na wenye pesa zao any way kuna kitu nimekipata hapa