Hivi ulishawahi kugundua haya?

wenye hela hawana furaha???
 
Sidhani Kama upo sahihi!!
Ubongo=brain
Akili=mind

In other words..
ubongo (brain)= hardware
Akili(mind) =software.

Human being= body, mind & soul

I stand to be corrected!
I got you hapo kwenye software
 
hiyo number 2[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi kitu nilichogundua kwenye maisha, sometimes kuna watu unawaona kabisa unawazidi vitu vingi tu kama ELIMU au KIPATO lakini unashangaa WAO wana FURAHA kuliko wewe [emoji1787]
Unavyozidisha elimu ndivyo unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia.

Unavyozidi kuelewa matatizo ya dunia ndivyo furaha inavyozidi kutoweka.

Mtu asiye na elimu anaweza kuwa ana tatizo la kutafuta kula na sehemu ya kulala tu.

Wewe mwenye elimu utafikiri kuhusu tatizo la nyuki kutoweka duniani na jinsi mimea itakavyokosa nyuki wa kurutubisha ustawi wa minea na jinsi watu watakavyokosa chakula.

Au global warming itakavyofanya miji yote iliyo pwani ianze kumezwa na maji ya bahari.

Au jinsi ma pandemic mapya kama Covid-19 yatakavyokuwa kitu cha kawaida kinachotokea kila miaka 10!

Au uwezekano wa kimondo kuangukia dunia na kumaliza uhai wote ndani ya muxa mfupi sana.

Au uwezekano wa nyota iliyopasuka karibu yetu kutuma gamma rays zitakazoikausha dunia na kumaliza uhai wote ndani ya sekunde kadhaa tu.

Hapo furaha utapata vipi?
 
Kiranga How is the corona situation in America?
 
Kama kweli hivi?
 
Kitu nilichogindua jamb au kitu unachokiwaza Sana,ndo unachokipataa au unakutanana nacho mara nyingi,

Kama unawaza Sana ngono utakuwa unapata Sana mademu au utakula Sana nyeto ,mambo yako yatakuwa yamekaa kingonono tu,
 
Mimi nashangaa kuna mambo ya kipumbavu ya wazi wazi yanayofanya na maccm lakini kuna mitanzania bado inaona sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…