Hivi ulishawahi kugundua haya?

Unapokuwa na elimu pia unahangaika sanaaa na vitu kama kuandika kwa makini sanaaa bila hata kukosea ili usipotoshe ujumbe 🙂
 
Kwamba unapokuwa na furaha saana, muda unaenda haraka sana na unapokuwa na huzuni muda unaenda taratibu sana.

Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo
Hii ni kweli kabisa.

Nilichogundua mimi watu wanene ni wavivu kuliko wembamba,hawana mawazo mengi,pia wanapenda kula kula ovyo(sio lazma iwe ni chakula).

Kama una mawazo mengi sahau kunenepa
 
Je wajua mwalimu nyerere alikua hai Kabula hajafa?
 
Kitu nilichogindua jamb au kitu unachokiwaza Sana,ndo unachokipataa au unakutanana nacho mara nyingi,

Kama unawaza Sana ngono utakuwa unapata Sana mademu au utakula Sana nyeto ,mambo yako yatakuwa yamekaa kingonono tu,
Yulee Behaviourist & Mshana Jr hii inawahusu sana. Sijui walizaliwa bar ama ni product za huko hawa watu!??? Kidogo Mshana Jr hivi majuzi keshaanza kuukoka baada ya kuona ufagio wa kovidi unapita kasi.
 
Hivi karibu kuibuka kundi kubwa la feminist kuwadanganya wanawake kudai 50/50 ilihali ni uongo mtupu hebu jamani fikiria nafanya kazi kwa tabu
1Pesa nakuhonga wewe

2Nguo nikununulie za gharama wewe uniletee viboxer na shati tuu

3nilipie watoto ada nyumban kusikaukwe chakula

4nikuoe kwa mahari

5nifanye mapenzi nikakamae misuli nikuridhishe wew

Nb:hivyo utafanya hata kama mwanamke anakipato

Havi jamani hapo kati ya mie na mwanamke NANI BOSS feminist hamjui hapoo tulipo tumebakiza asilimia 30 nasio 50 kama mnavyodhani na hiyo jamani nmataka muichukue ilihali kwenye hiyo 30 kuna wazazi wetu na mashangazi wanachukua asilimia 10 tuoneeni imani jamani wanaume tunaishi maisha ya Shida na uongo mwingi na kuigaza yani toka tumetoka eden tupo tupo tu ile adhabu tuloibeba pasipo kosa letu imetufanya tuishi kwa msongo wa mawazo vizazi kwa vizazi nawahisi Sana tuoneeni huruma
 
Nyingine hii hapa unafika sehemu halafu akili yako inakumbuka kwamba ushawahi kufika eneo Hilo.
Na wakati mwingine hutokea umefika eneo fulani kwa mara ya kwanza lakini unagundua kuwa ulipata kuota ndoto inayoonyesha mazingira hayo
 
Ukipata jibu

Tutofautishie kati ya MOYO na ROHO.
Moyo ni ogani ya mwili inayoendesha mzunguko wa damu mwilini. Kazi yake ni kama pampu ya damu. Hali halisi ni misuli inayosukuma damu kwenye mishipa
na
Roho ni nafsi au umbile la pekee lisiloonekana ambalo linasadikiwa kuwemo pamoja na mwili katika binadamu
 
Kitu nilichogindua jamb au kitu unachokiwaza Sana,ndo unachokipataa au unakutanana nacho mara nyingi,

Kama unawaza Sana ngono utakuwa unapata Sana mademu au utakula Sana nyeto ,mambo yako yatakuwa yamekaa kingonono tu,
Ahahaha! Nimejikuta nacheka tu!
 
Kiranga How is the corona situation in America?
Shukurani kwa kunijulia hali.

Huku tunaelekea kwenye ahueni sasa hivi.

Jana nimepata chanjo ya kwanza ya Pfizer. Baada ya wiki tatu nitapata ya pili.

Wamarekani (serikali ya Biden)wanataka by May watu wote wanaotakiwa kuchanjwa na wanaotaka kuchanjwa wawe wameshachanjwa.

Kwa hesabu za jana, takriban watu milioni 2 wanachanjwa kwa siku.

Wingi wa watu kuchanjwa umeshaanza kuonesha kushuka idadi ya maabukizi, kwa sababu waliochanjwa hawaambukizwi.

Ila bado kuna washenzi huko Texas na Mississippi wanataka kuondoa amri ya kuwalazimisha watu kuvaa barakoa, hilo litasababisha milipuko ya maambukizi upya huko.

Nimefurahi sana kupata chanjo, sasa hivi nikitaka kutoka nje kupiga mishemishe zangu inakuwa haina hofu sana.

Ingawa bado naendelea kufanya kazi kutoka nyumbani na sina mpango w akutoka sana.

Shukurani kwa kunijulia hali.
 
that's great my brother.Keep the fire burning
 
Siku ya Mama Duniani ndio ambayo simu nyingi zaidi hupigwa kuliko siku yeyote ile ndani ya mwaka mzima.
"Mother's Day"
''UNA UTHIBITISHO GANI KWA HILI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…