Hivi ulishawahi kutembea na mtu barabarani anamsalimia kila mtu?

Hivi ulishawahi kutembea na mtu barabarani anamsalimia kila mtu?

Ipo hio hata mimi kuna bro wangu ilikuwa sehemu ya dakika 10 kwenda mtatumia dk 40 usalimia kila mtu na story zikiwemo
 
Rafiki yangu ambaye ni marehemu alikuwa na hiyo tabia ni ile type ya watu ambao wanajulikana sana au ni maarufu ndo hiwaga na hiyo tabia!
 
Ndio mi ilishawahi nitokea, hadi nikawa najishtukia, kumbe alikuwa kavutavmoshi wa Jamaica, nikicheka sana baada ya kugundua 😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo jamaa yangu ameniboa,tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu,hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini?jee ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
Oi
Mpaka uje kunitaja huku? Si ingetosha kuniambia pale pale kuwa nazingua,

Mbona mimi sijakupost kuwa njia nzima unatoa gesi kavu ya vitunguu saumu?

Siyo poa kabisa
 
Back
Top Bottom