The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Ilkuwa wapi? Ulijiaanda je? Ulichuwa muda gani? Uliganganya kwa asilimia gani? Ulihisi hofu kiasi gani? Na ulijibiwa vipi baada ya sound zako zote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna jamaa alikuwa bingwa wa kuandika barua za mapenzi nilimtumia huyo kwa ofa sigara mbili za Nyota, barua aliyonitungia huyo staa nilimpa mdogo wangu wa kike aipeleke kwa demu wangu mtarajiwa. Ilinichukua mieze miwili kupata majibu, hata hivyo nilikubaliwa na sasa tuna watoto wanne,first born anasubiri jina lake litoke TCU!

Nilimuambia "Samahani Irene naomba tujamiane" aise alicheka japokuwa alikuwa ananinipenda na akanifundisha kuwa "Wenzio hawasemi hivyo" nilijiona box sana ila nilikuwa sijabarehe.
Nilijipanga na maneno kibao lakini nilipokutana naye yote yakapotea, lakini kwa kuwa msichana alinielewa hisia zangu aliishia kucheka, nakumbuka aliniambia "najua unanipenda lakini huna nafasi katika moyo wangu, samahani kaka" hapo ndo nikapata cha kuongea na kumshawishi mpaka akaingia kumi na nane
Nilimuambia "Samahani Irene naomba tujamiane" aise alicheka japokuwa alikuwa ananinipenda na akanifundisha kuwa "Wenzio hawasemi hivyo" nilijiona box sana ila nilikuwa sijabarehe.
Niliandika barua na kwa sabab nilikuwa na mwandiko over kisigino nkampa best yangu mmoja akaipaste, nikamimina na mapoda ya kufa mtu, nkachora kaapicha ka love, alivoona mwandiko ulivotoka akajua kapata mtu kumbe ya kupaste, baadae aliKuja nitosa .