Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mathalani mmekubaliana na mtuma hicho kitu, kwamba anakutimia muda huo, halafu, ukiwa katika hali ya shauku, bashasha na hamu kubwa sana ya kupokea, kutazama na kuona ulichotumiwa, na halafu anae kituma anakuhakikishia kabisaa kwamba tayari ameshakutumia.
Ukiachilia mbali pesa,
Ni kitu gani au mambo gani ulitumiwa halafu network au bando ikawa kikwazo, ikakukosesha fursa ya kukipata ulichotamani sana kukipata, kukiona, kukitazama na kukifurahia kwa wakati muafaka na hatimae kikidhi mahitaji, haja au matamanio yako ya hali na mali, ya kiroho na kimwili.
Na ulijiskiaje 🐒