halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta?
Jana nime mu add dada mmoja, aisee leo naona anatikisa makalio full msisimko😂😂😂
Jana nime mu add dada mmoja, aisee leo naona anatikisa makalio full msisimko😂😂😂