Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

halfcastmangi

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
605
Reaction score
1,644
Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta?

Jana nime mu add dada mmoja, aisee leo naona anatikisa makalio full msisimko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wazito wa JF watakuja kukuambia unatumiaje Facebook wewe?

Ila kama vile wana mantiki, yaani msisimko wa makalio tu ukapagawa mpaka kukimbilia JF kuandika uzi?
 
Kila thread ni thread, cha muhimu ni kua na muunganiko wa irabu na konsonanti tu.
 
Mengi ni madume yanatafuta hela za bure
 
Umeanza kutumia simu lini?
Au umeshafikisha miaka 18?
 
Itakuwa wakati unamu add ulienda bila gadi. Kuwa makini na wastani wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ