Hivi umewahi jiuliza ni kwanini hatupati kupatwa kwa Jua / mwezi kila mwezi /mwaka licha ya kuwa na mzunguko wa dunia / mwezi unaojirudia rudia?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
GettyImages_1006338632.0.jpg

Picha: Kupatwa kwa mwezi
Galchen-Eclipse.jpg

Picha: Kupatwa kwa jua

=====================
Kwa msiojua, kupatwa kwa jua hutokea kati ya saa 2 asubuhi na saa 12 jioni ambapo mwanga wa jua hufifia na kuwa kusiko kwa kawaida

Hii husababishwa na kitendo cha mwezi kuwa katikati ya jua na dunia hivyo kukinga baadhi ya miale ya jua kuifikia dunia. Baadhi ya maeneo ambayo hufikiwa na kivuli cha mwezi moja kwa moja, hupatwa na giza kali sana huku maeneo yaliyo kwenye mpaka wa kivuli hicho hupata mwanga hafifu wa jua

Kupatwa kwa mwezi hutokea wakati wa usiku ambapo mwezi huelekea kuwa na rangi sawa na nyekundu huku ukizungukwa na kivuli cheusi. Kivuli hicho sio mwezi kama wengi wajidanganyavyo, bali kivuli hicho ni kivuli cha dunia kilichoangukia mwezini kutokana na dunia kuwa katikati ya mwezi na jua, hivyo kukinga miale ya jua kuangukia mwezini. Viumbe vinavyoishi mwezini hu-experience kile kinachoitwa kupatwa kwa jua wakati ambao sisi huku duniani tunapata kupatwa kwa mwezi

=================
Licha ya kuwa na mzunguko wa mbalamwezi unaojirudia kila mwezi ama dunia unaojirudia kila mwaka, hatuwezi kuexperience kupatwa kila mara kwa kuwa Orbit ya mwezi kuzunguka dunia haiko sambamba na Equator, bali imeegemezwa 5° kutoka usawa wa ikweta hivyo kufanya mpangilio wa jua, mwezi na dunia visiwe sambamba kwenye mstari mnyoofu mara kwa mara

Ni kawaida kuona tukio la kupatwa kwa mwezi muda mfupi baada ya kila tukio, maake kupatwa kwa mwezi hutokea kati ya miaka 3 na 5. Hii ni kutokana na mzunguko wa mwezi kuzunguka dunia kuwa wa kipindi kifupi (siku 28). Kupatwa kwa jua huwa ni kwa nadra sana kutokana na mzunguko wa dunia kulizunguka jua kuwa mchakato wa muda mrefu (siku 365), hivyo kutokea kati ya kipindi cha miaka 9 hadi 16

===================
Kwa wenzangu na mie mliosomea Cuba, kitendo cha magimba haya matatu kuwa katika mstari mnyoofu ni sawa na application ya LCM (KDS)

Chukulia magimba haya ni sawa na ngoma tatu ambazo zilipigwa kwa mipigo tofauti ambapo ngoma ya kwanza ingepigwa mwaka wa 4 kutokea mwanzo wa shughuli, mpigo wa kwanza wa ngoma iliyofuatiwa ukapigwa mwaka wa 8 na mpigo wa kwanza wa ngoma ya tatu kupigwa mwaka wa 16. Hivyo wakati ambao mpigo mmoja wa ngoma zote tatu (kupatwa), ungetokea baada ya miaka 16 (Mfano wa Kupatwa kwa jua)

Kwa kuwa kigawe kidogo cha Shirika cha 4, 8 na 16 ni 16 (Ni mfano tu ambao unaeleza kivipi haya magimba ni ngumu kukutana licha ya kuwa na mzunguko ule ule)

Hivyo chanzo cha kutokupata kupatwa kwa mwezi / jua kila mara husababishwa na mkao tenge wa njia ya mwezi (Moon's orbit) ukiwa na angle ya 5° kutoka usawa wa ikweta
 
Wajuvi wa mambo mnakaribishwa kwa maswali. Nipo tayari kubishana
 
View attachment 2993093
Picha: Kupatwa kwa mwezi
View attachment 2993094

duuuh kumbe!!!!
 
Back
Top Bottom