Hivi umri wa mtoto wa kiume/ mwanaume wa ukwamo wa kunyonya ni umri gani ?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
mtoto wa kiume hunyonya adi umri gani ?
 
Dah inategemea Ila akinyonya hata miaka miwili kwa kiume na kike yte sawa,,, wanangu walinipa mitihan sana,was kwanza alinyonya mwez mmoja na siku NNE tu BA's,na wa pili alinyonya siku kumi tu BA's kiukwel ilinitatiza sana na ilimpa mama yake mtihan mzito maana hawakutaka kunyonya hata afanyeje,,kwa hyo ni vzr anyonye tu kama hana shida mpka 2 yrs
 
mtoto wa kiume hunyonya adi umri gani ?
Kunyonya nn embu specify your question tukuelewe bila ya ivyoo utapata majibu yaaajabu ajabu kama ww swal lako ulivyoliuliza kiajabu ajabu
 
Hivi ni nini kinasababisha wanakataa nyonyo? Kuna wa dadangu nae alikataa akiwa na miezi kadhaa!!!
 
Hivi ni nini kinasababisha wanakataa nyonyo? Kuna wa dadangu nae alikataa akiwa na miezi kadhaa!!!
Kiukwel hatukupata jib mpka Leo watoto wamekua,ila ilitugharimu sana mwanzo
 
Kunyonya nn embu specify your question tukuelewe bila ya ivyoo utapata majibu yaaajabu ajabu kama ww swal lako ulivyoliuliza kiajabu ajabu
Nyonyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…