Hivi unajisikiaje kuiingizia kampuni hasara

Jerry Rebiam

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
402
Reaction score
358
OK

Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa

NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
 
Unapozungumzia Matusi basi pale WCB ndo timu iko uwanja wa nyumbani. Refers Nyimbo za Diamond utathibitisha hili. Wenzako hapo wanahesabia Ajali kazini tu.
 
Aisee ile video ya baba levo imenifanya niwaze wanawake wanene walijionaje...nahis walihis wanaume tunawachukulia ni watu wa hovyo
Watu wa kigoma wanalazimishaga umaarufu halafu wakiupata wanaharibu.. ni malimbukeni flani hivi ..ona yule bichwa tofali mwijaku nae.. hovyo kabisa
 
OK

Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa

NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
Mtangazaji wa aina hiyo hafai kurudi tena hewani
 
Siku anatambulishwa alisema amesain mkataba was kumuingizia mshahara wa mamilion...hata mshahara wa kwanza hajapokea yey tayari kaharibu
Mtangazaji wa aina hiyo hafai kurudi tena hewani
 
Unapozungumzia Matusi basi pale WCB ndo timu iko uwanja wa nyumbani. Refers Nyimbo za Diamond utathibitisha hili. Wenzako hapo wanahesabia Ajali kazini tu.
Kuwa serious basi matusi uwanja wa nyumbani kweli wewe mbugira
 
OK

Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa

NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
Sikiliza Sports Headquarters ya E fm. Hiyo nyingine ni copy tu.
 
Back
Top Bottom