Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Unapozungumzia Matusi basi pale WCB ndo timu iko uwanja wa nyumbani. Refers Nyimbo za Diamond utathibitisha hili. Wenzako hapo wanahesabia Ajali kazini tu.OK
Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa
NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
Watu wa kigoma wanalazimishaga umaarufu halafu wakiupata wanaharibu.. ni malimbukeni flani hivi ..ona yule bichwa tofali mwijaku nae.. hovyo kabisa
Mtu mmoja asifanye useme watu wote wa kigoma tuko hivyo tafadhali kabisaWatu wa kigoma wanalazimishaga umaarufu halafu wakiupata wanaharibu.. ni malimbukeni flani hivi ..ona yule bichwa tofali mwijaku nae.. hovyo kabisa
Mtangazaji wa aina hiyo hafai kurudi tena hewaniOK
Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa
NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
Mtangazaji wa aina hiyo hafai kurudi tena hewani
Amesomea uandishi?Siku anatambulishwa alisema amesain mkataba was kumuingizia mshahara wa mamilion...hata mshahara wa kwanza hajapokea yey tayari kaharibu
Amesomea uandishi?
mtu mmoja asifanye useme watu wote wa kigoma tuko hivyo tafadhali kabisa
Kuwa serious basi matusi uwanja wa nyumbani kweli wewe mbugiraUnapozungumzia Matusi basi pale WCB ndo timu iko uwanja wa nyumbani. Refers Nyimbo za Diamond utathibitisha hili. Wenzako hapo wanahesabia Ajali kazini tu.
Fact kigoma tuko humble sanamtu mmoja asifanye useme watu wote wa kigoma tuko hivyo tafadhali kabisa
Unatafuta Basha au?Kuwa serious basi matusi uwanja wa nyumbani kweli wewe mbugira
Sikiliza Sports Headquarters ya E fm. Hiyo nyingine ni copy tu.OK
Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa
NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
kalagabahoWatu wa kigoma wanalazimishaga umaarufu halafu wakiupata wanaharibu.. ni malimbukeni flani hivi ..ona yule bichwa tofali mwijaku nae.. hovyo kabisa
Tutakuwaje na adabu wakati dada zenu tu hapa mjini hawana adabu.Ndio mkija mjini muwe na adabu sasa.. huku sio ziwa Tanganyika