stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Mkuu, kwanza kabisa umethibitisha kuwa anachokisema ni cha kweli?Hiyo ni uthibitisho binadamu tuna ability kubwa, our mind have great power ambayo hatujui namna ya kuitumia!
Hiyo furaha imekuongezea siku ngapi za kuishi?Cwez kuchukia nitapuguza ck za kuishi
HIVI UNAJUA KAMA.UKICHUKIA KUNA MISTARI INAPOTEA GHAFLA KIGANJANI KWAKO?
Yes kama ulivyosoma
no research no right to speak
fanya uchunguzi kesho lete mrejesho
siku moja ya rahaHiyo furaha imekuongezea siku ngapi za kuishi?
Umejuajesiku moja ya raha
nimejua kwa kuiishi siku moja hiyoUmejuaje
Weka humu 🗑️nimejua kwa kuiishi siku moja hiyo
Weka humu