Hivi unajua Mbezi ya Kimara ilikuwa kijiji cha ujamaa?

Hivi unajua Mbezi ya Kimara ilikuwa kijiji cha ujamaa?

Kifatako mfano mzuri wageni wengi awataelewa nn manaake
 
Dah...umenikumbusha mbali sana... enzi tunawinda nyati na swala bonde LA Jangwani....kulikuwa na Simba wengi...na mto Msimbazi ilijaa mamba wa hatareeee[emoji13] [emoji13]
 
Sasa mkuu neno picha ya ndege lilitokana na nini?
Palikuwa pana SANAMU LA ndege pale....NDEGE YA MZUNGU.... SIO NDEGE kinega,, mfano hadi leo ukipita pale utaona kuna NDEGE YA MBAO SEHEMU.... imefungwa,,, kama inapaa
 
Back
Top Bottom