Hivi unajua vitu vyote vitamu vinaanzia na neno --ku.!??'?

godfrey godizle

New Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Je wajua kua vitu vitamu vyote vinaanzia na neno --ku?????????

Km kuku,,,kula,,kulala,,,kuogaa,,kucheza,,,kusengenya,,n.k

Na km unavingine niongezee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji7] [emoji7]
 
Umesoma hadi darasa la ngapi??? Kucheza sio neno halisi.. hiyo ku inaonesha namna.... neno halisi ni cheza, jamba, oga, imba nk..
 
Wenye vyeti feki waliofukuzwa mnaanza kuingia humu mmoja mmoja. Hivi wewe unajua vitenzi, viwakilishi, vivumishi, ngeli n.k au unajua neno tu?
 
Wenye vyeti feki waliofukuzwa mnaanza kuingia humu mmoja mmoja. Hivi wewe unajua vitenzi, viwakilishi, vivumishi, ngeli n.k au unajua neno tu?
Kwa taarifa yako hakuna neno linaloanzia na ku...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wenye vyeti feki waliofukuzwa mnaanza kuingia humu mmoja mmoja. Hivi wewe unajua vitenzi, viwakilishi, vivumishi, ngeli n.k au unajua neno tu?
Kwa taarifa yako hakuna neno linaloanzia na ku...
ngoja mi nipite tu maana sina utaalamu wa ngeli
 
sio kweli hivyo vyote ni vitenzi na huongezwa kiambishi ku- ili kukidhi mahitaji ktk sentensi
 
Vitu vitamu ni pamoja na ndizi, embe, sukari, pera, zabibu, viazi, bibo, asali........

Mada yako inaangaliwa na shetani kwa macho bila kupiga kope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…