Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
ndio lakini silewagi mkuuKwan wewe ushawah tumia kilevi?
Ochumeraa
kikianza wazia papuchi [emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa cha chini kikianza kufikiri
[emoji23][emoji23][emoji23] huu ujinga nami ninaoUtaona kila mtu ameanza kutafuta mtu wa kumpigia simu.Ujue hapo alcohol imeanza kumpanda kila mtu kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu cha kuongea kinakuwaga hakina msingiHoja zipo nyingi ila hiyo ya kupiga simu inajionyesha haraka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
nayo imekaa kivituko tu aiseeUmeamua uiweke jukwaa la vituko kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeamua uiweke jukwaa la vituko kabisa!
kwanza mwili unaanza kuchangamka.
mawazo yanakua halisi unaiona dunia ile ya kweli.
unaanza kukumbuka watu unaowadai na wanaokudai na kujenga mikakati uwalipe vipi
Mziki hata kama hauujui sana sasa unakua mzuri zaidi.
wahudumu wanakua na tabasamu na urembo zaidi.
Kama mpo wengi story za siasa na mpira zinanoga
Kujiamini kunaongezeka
Wengine kingereza au lugha za nyingine zinakuja zenyewe.