Hivi? Unajuo. ilivyo tofauti ya rangi ya watu Na matukio

Hivi? Unajuo. ilivyo tofauti ya rangi ya watu Na matukio

adam kayombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
262
Reaction score
140
Mzungu akilala hushika KICHWA mhindi yeye hushika TUMBO sasa tuna kuja kwetu sisi wa Swahili ukilala zako KUSHIKA SEHEMU ZANDOA yaani katikati ya MIGUU
ac3b70c3d676ef2fb5c47f549c995524.jpg
 
Sasa Ww ndo unashika dushee ukilala??kwani waogopa likaibiwa?[emoji38]
 
sijapata connection ya picha na huo ujumbe.
 
Wana angalia staili maana kulikuwa na mzungu,muhindi na mswahili kama unavyo ona nilishani tukicheki
 
sasa mbona content yako haina correlation na hio picha uliyo weka, ingetosha tu kuandika bila hio picha ingekua poa sana, anyway...hahahhahhhaaha
 
Sasa hao kwny pict ndo wamegundua ulalaji wa wazungu waarabu na waswahili?[emoji19]
 
Yani mleta uzi huna tofauti na Mc Pilipili anayerudia rudia vichekesho na kuvichukua hadi vya kwenye meseji.

Hiki ulicholeta Masanja ashakisema sana enzi za Ze komedi. Unazingua.
 
Usikalili kuna wengine hawana mikono!
 
Back
Top Bottom