situmai Member Joined Jun 29, 2012 Posts 85 Reaction score 18 Aug 28, 2012 #1 unakumbuka idadi ya uliyoduu nao mpk sasa?
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,844 Aug 28, 2012 #2 Ndio nakumbuka.... Kwa hiyo????
situmai Member Joined Jun 29, 2012 Posts 85 Reaction score 18 Aug 28, 2012 Thread starter #3 neylu said: Ndio nakumbuka.... Kwa hiyo???? Click to expand... duh kuanza na kuanza mashushuu... kasheshe hiyo?
neylu said: Ndio nakumbuka.... Kwa hiyo???? Click to expand... duh kuanza na kuanza mashushuu... kasheshe hiyo?
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,500 Aug 28, 2012 #4 ganga yajayo
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,065 Reaction score 24,559 Aug 28, 2012 #5 hii ni sawa na kujiuliza hivi ingekuwa sabuni tungekuwa tushamaliza miche mingapi?
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 Aug 28, 2012 #6 situmai said: unakumbuka idadi ya uliyoduu nao mpk sasa? Click to expand... Post nyingine bwana. Mods muwe mnafanya cleaning ikibidi!!!
situmai said: unakumbuka idadi ya uliyoduu nao mpk sasa? Click to expand... Post nyingine bwana. Mods muwe mnafanya cleaning ikibidi!!!
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 651 Aug 28, 2012 #7 Ukianza kuwa na mawazo ya kufa kufa ndio unakuwa na maswali kama haya! ulipokuwa unajirusha ulikuwa hujui kama unaongeza idadi ambayo baadaye itakutia mashakani?Utavuna ulichopanda, kwaheri!!
Ukianza kuwa na mawazo ya kufa kufa ndio unakuwa na maswali kama haya! ulipokuwa unajirusha ulikuwa hujui kama unaongeza idadi ambayo baadaye itakutia mashakani?Utavuna ulichopanda, kwaheri!!