Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Hawa wanyama mkiacha wajichanganye unaweza kukuta kambale kazaa na mbuzi. nimekuta kwenye mitandao jogoo kampanda mbwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamu wake sasa anaoupata jogoo ni 🔥
Ndio mkuu 😎Wewe ndio wa kubadioika wewe.
Hii dunia imeharibika, mtaani kwetu kuna Jogoo anapanda majogoo wenzake tu
Scientifically hapo hakuna mimba au uzao utakaoweza kutokea kwa sababu chromosomes za mbwa 🐕 na 🐔 ni tofauti...rejea biology ya form 3 dogo...Hawa wanyama mkiacha wajichanganye unaweza kukuta kambale kazaa na mbuzi. nimekuta kwenye mitandao jogoo kampanda mbwa.
View attachment 3041999
kuwa na heshima basi ujue una baba zako waliokuwa wachumba wa mama yakoScientifically hapo hakuna mimba au uzao utakaoweza kutokea kwa sababu chromosomes za mbwa 🐕 na 🐔 ni tofauti...rejea biology ya form 3 dogo...
Inamaana kuna majogoo shoga!?Hii dunia imeharibika, mtaani kwetu kuna Jogoo anapanda majogoo wenzake tu
Dunia sasa hivi ipo ndani nje, nje ndaniInamaana kuna majogoo shoga!?
🙄🙄🙄
Jamani Masihi arudi tu kiama kitokee dunia imeshakwisha.Dunia sasa hivi ipo ndani nje, nje ndani
Tukimuona anakimbiza jogoo mwenzake kutaka kumpanda tunamfukuza na mawe lakini hasikii
masihi gani kwani ujawai kuojiwa na kikekeJamani Masihi arudi tu kiama kitokee dunia imeshakwisha.
Kmmke daaah 😂Hii dunia imeharibika, mtaani kwetu kuna Jogoo anapanda majogoo wenzake tu
Kwaio na majogoo wenzake wanatulia tu wanapandwa.....Dunia sasa hivi ipo ndani nje, nje ndani
Tukimuona anakimbiza jogoo mwenzake kutaka kumpanda tunamfukuza na mawe lakini hasikii
[emoji16][emoji16][emoji16]Dunia sasa hivi ipo ndani nje, nje ndani
Tukimuona anakimbiza jogoo mwenzake kutaka kumpanda tunamfukuza na mawe lakini hasikii
Duh mi nshaona jogoo amepanda jike huku nayeye hapohapo kapandwa na jogoo mwenzake...yan ilikuwa mtungoDunia sasa hivi ipo ndani nje, nje ndani
Tukimuona anakimbiza jogoo mwenzake kutaka kumpanda tunamfukuza na mawe lakini hasikii
Wanakua wanaangaika, kuna siku alimpanda kuku ambaye bado hajawa jogoo mpaka akawa hawezi kutembeaKwaio na majogoo wenzake wanatulia tu wanapandwa.....
Au muuni anawachanaga maokoto
Home tulikua na ng'ombe basi kuna mmoja alikua hashiki mimba, likaletwa dume kutoka mahali pengine labda lije nalo lipige atapata.....Hii dunia imeharibika, mtaani kwetu kuna Jogoo anapanda majogoo wenzake tu
Dunia ipo miguu juu, ushetani umejaaHome tulikua na ng'ombe basi kuna mmoja alikua hashiki mimba, likaletwa dume kutoka mahali pengine labda lije nalo lipige atapata.....
Hee hilo dume si likaanza kumfata fata dume mwingine linataka kumpanda, kitendo cha aibu sana.....ilibidi niondoke