Hivi unakuta Jogoo wako kampanda mbwa utarajie nini

Dunia sasa hivi ipo ndani nje, nje ndani
Tukimuona anakimbiza jogoo mwenzake kutaka kumpanda tunamfukuza na mawe lakini hasikii
Jamani Masihi arudi tu kiama kitokee dunia imeshakwisha.
 
Hii dunia imeharibika, mtaani kwetu kuna Jogoo anapanda majogoo wenzake tu
Home tulikua na ng'ombe basi kuna mmoja alikua hashiki mimba, likaletwa dume kutoka mahali pengine labda lije nalo lipige atapata.....

Hee hilo dume si likaanza kumfata fata dume mwingine linataka kumpanda, kitendo cha aibu sana.....ilibidi niondoke
 
Dunia ipo miguu juu, ushetani umejaa
 
.... mpumbavu mmoja kachukua hako ka'puppy' akaka'glue' na jogoo, akatengeneza video, halafu mzee mzima ukaingia MZIMAMZIMA!
😅 ... DUH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…