Hivi unakuta Jogoo wako kampanda mbwa utarajie nini

Dunia sasa hivi ipo ndani nje, nje ndani
Tukimuona anakimbiza jogoo mwenzake kutaka kumpanda tunamfukuza na mawe lakini hasikii
haha wa hivyo nimewahi kumuona pia. alikua anataka kubaka majogoo wenzake. wenzake wanamkimbia.
 
Hawa wanyama mkiacha wajichanganye unaweza kukuta kambale kazaa na mbuzi. nimekuta kwenye mitandao jogoo kampanda mbwa.
View attachment 3041999
Hapo ni mbwa kampanda jogoo, na jogoo ni lazima atakufa tu, no longer, hapo ni rungu ya umbwa imenasa tumboni mwa jogoo!
Dunia inakwenda vibaya sana nimewahi ona mbwa dume, ana deal na madume wenzake tu, nilistaajabu sana!
 
Sasa unashangaa nini wakati.mimi kwa macho yangu nimeshuhudia sisimizi kampanda tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…