"Hivi unanichukuliaje ?" Hili swali linajibiwa vipi? Mara nyingi ktk hali isio nzuri

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Wadada wengi ndo hulipenda, binafsi hua nashindwa kujibu , kwamba nimwambie nini.

Wanaume mnalijibu vipi hili swali na wanawake mnakua mnataka msikie nini?

Shukran
 
Wadada wengi ndo hulipenda, binafsi hua nashindwa kujibu , kwamba nimwambie nini.

Wanaume mnalijibu vipi hili swali na wanawake mnakua mnataka msikie nini?

Shukran
Mkuu, hili swali huulizwa na wasichana na sio wanawake.
Ebu badilisha heading ya huu uzi wenu ili wavulana wakuje wachangie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wengi ndo hulipenda, binafsi hua nashindwa kujibu , kwamba nimwambie nini.

Wanaume mnalijibu vipi hili swali na wanawake mnakua mnataka msikie nini?

Shukran
Jibu rahisi tu mwambie, "nakuchukulia poa"

Kama hataki hela zako atapita hivi [emoji117]

Sent using Sukhoi Su-57
 
nakuchukulia maandazi kinyama

Don't wait Judgement from a woman"
 
Kama hauna hela utaulizwa kila aina ya maswali ya kipuuzi.
 
Inategemea na aina ya mazungumzo yaliyopo.Kama ni ya amani utasema"mtu muhimu,mhimiri zaidi ya bunge,wa thamani,mama n.k
Ila kama ni Shari baki kimya brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…