Hivi unanipigia pigia simu kwani unanidai jamani?

Bizzmc

Senior Member
Joined
May 2, 2016
Posts
187
Reaction score
184
Kwel kama mwanaume inatakiwa ikifika wakat uwe na maamuz magumu na moyo wa chuma.... Umeachwa na mpnz unampenda bado ktk harakati za kuyajenga anakuchana ati unanipigia pigia simu kwani unanidai jaman...... Hapo kama mwanaume maamuz gani kuchukua ya busara hasira upole au kikatili na bado wampenda bibie......
 
M shit tu halafu una kaa wiki 2 hupigi simu wala sms kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…