Hivi unapata picha/taswira gani ukisoma majina ya members wa JF?

Mi majina ya member tu kwangu burudani. Wakiwemo:
Okwi baban sunzu, Babu wa kambo, Raisi2020, Milioni milioni, mzuri mie,. n.k.. Post nnazozikubali mara nyingi ni za mshana jr. na the Bold
 
Mkuu hapo namba 4 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1. Numbisa
Atakua mtu wa pwani au maeneo ya Tanga, anaonekana muongeaji sana na mchambaji mzuri tu.

2. Mondray
Anaonekana disminder ila anaonekana kiumri bado mdogo sana.

3. Rayyoungr
Anaonekana anahusudu mapenzi ya jinsia moja.

4. Chief Engineer
Mshamba wa tendo la ndoa. Kila tukio lazima alete.

5. Jovitha
Anaonekana yuko faster kumuamini mtu. Ana mtindo akimquote mtu atamuita mama au jina lolote la kuashiria mna ukaribu.
 
Bado umemsahau mzee wa Like.
Yeye mada aijue asiijue, yeye ni Like
 
iyo ndo impact ya cybercrime law na bado uku tunakoenda tutavaa hadi mask barabarani
 
Namba mbili na kuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…