Hivi unapoota ndoto inatokea?

Babygood

Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
11
Reaction score
3
​Kuna men tulikuwa tunadate ikatokea misunderstanding, yeye ni mwanachuo bado na mimi ni graduate ofcourse sija Do nae as i said in previous topic i posted na tulibrake baada ya yeye kuonyesha ajajipanga time will tell!! problem ni kwamba nimejitahidi nimsahau kwa kuwa na watu wengine,nikaamua kukubalia Anatha man lakini sijiskii furaha ya ukweli is like iam forcing my self! nashangaa why to this man maana before nillishabrake na mwingine sikupata hii shida, na huyu pia siku Do nae! lakini iyo sio isu nimeshangaa zaidi hii ni mara ya tatu sasa namuota huyu men, yaani jana nimeota nilikua nimeleta anatha guy kumu introduce home alafu mama yangu akawa anaongea na yule men wa kwanza hivi, dont worry wewe ndo muhusika i will work on it, huyu hatuta mkubalia!.. niliposhtuka nilishangaa sana maana i had ever think about that! ushauri pls!
 
just think why u brake up, then ur the one to decide..........kama ni ishu ndogo mrudie na kumuomba msamaha.....kama ni ishu kuuubwa we achana nae
 
yea nampenda, lakini sijachat nae mda, hakukuwa na sababu ya kubrake isu ni yeye alisema tuache kwanza, tangu hapo ishakata miezi!, comunication ikawa loose! nikawa namcall call badae na mi nikaanza kuwa kimya!
 
huyo jamaa yaonesha bado wampenda...usishindane na moyo wake.
 
Si uandike tu kiswahili maana anatha, mara men?? aaaaarrgggg.......kwa kifupi unampenda sana huyo men wako ndio maana unamuwaaza sana wakati wa mchana, na ndoto huwa haziongopi, kitu tukiwazacho saaaana mchana usiku huwa tunaota

Shantel usijali ndo kwanza ameingia MMU na JF acha aonyeshe kuwa yeye mwana CHUO....
 
Halafu wewe kiruka njia sasa, men, anatha, next...wote hujado nao?...wewe kitight? bado nyuzi weye? kama unamuota mukubalie kwenye ndoto,funga ndoa kwenye ndoto then divorce kwenye ndoto...ukiamka life linasonga mbele...
 
Kuwa na msimamo, chagua mmoja ili utulie. Ukibadilishabadilisha, lazima utakwama tu na mwisho wake ni kuendelea na hizo ndoto!
 

Nahisi kama umeharakia hayo mahusiano mapya hivi?
Unapobreak na mwanaume,jipe muda wa kutosha ili ujue wapi ulikosea na ni nini hasa unachohitaji toka kwenye mahisiano.Pengine ni wewe hujajielewaelewa hasa unataka nini.
 
bongo vipo vingi, nasikia kuna Street University huenda huko ndo aliko...ya Mwanamayu sijui? Vyuo vingi tu wewe tu na chuo utakacho Bongo utapata...
Mhhhh yake kali lakini, anatha.....
 

Unasoma chuo gani maana stori ulivyoiandika hata kueleweka haileweki kabisa kwa sababu ya kuchanganya maneno kiingereza, kisukuma/kihaya nk. na kiswahili. Kama ukiandika basi andika kama msomi watu wakupe ushauri..... crap
 
Jaribu kuwa muwazi kwa kiasi fulani ili ugonjwa ujulikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…