Hivi unarudi kazini unamkuta mtoto kafanya hivi utafanyaje?!

Aiseee naweza kuzimia kabla sijamfanyia tukio litakalomfurahisha
 
Reactions: MC7
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Nitamwacha kama alivyo kwa sababu mimi mkubwa ndiye niliyefanya huo ujinga!
 
Duu,alafu ukute ni ka mkopo umekachukua mda sio mrefu,alaf ukimcheki dogo anatabasamu tu,hapo hata kumdunda huwez yani.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

halafu mkuu hizo ni euro sio madafu
 
Yaani Kama nilikua sijampeleka jando(kutailiwa)nitamwambia mwanangu jiandae twende hospital,doctor namwambia huyu ktk mila zetu haturuhusu kutailiwa na ganzi,mtaili bila ganzi ili asikilizie maumivu na ndyo itakua kumbukumbu yake hyo
 
Nampiga kipigo kimoja tuu natafuta ndugu wa bba yake anaeishi kijijini namkabidhi nisije nikauwa.
 
Nyooo mnajisemesha tu hapo mbona vinavunja flatscreen mnakausha tu. Labda mleta mada angeanZa kwa kusema mtoto wa umri gani. Kwangu mie
Miaka1-2 ntaenda kulilia chumban maana inauma kweli na kuchapwa haiwezekan maana ukichukua kiboko yeye anachukua Chelsea.

2-6 mboko za kufa MTU.
6 na kuendelea hapa nageuka wale jamaa zetu wa pale mgulan. Kachote maji kwa kizibo ujaze pipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…