Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Hiyo ni kesi nyingine. Katika situation kama hiyo unamtimua tu. Hakuna majadiliano kwenye suala la mwanamke kuchepuka.Unaweza kuwa na option nyingi,ila itauma pale utakaposikia mkeo anaachia huko nje free huku wewe anakubania.
Bora iwe hivyo, vinginevyo labda awe na matatizo ya kiafya, au umezaa naye watoto wasiopungua wanne, unaweza kumvumilia huku ukipiga nje taratibu.Bora kumpa talaka siyo kubaka
Sisi tunaotaka tupewe kila siku inakuwaje sasa?Kujenga family kwenye misingi ya upendo na haki
Wanawake wetu wenyewe kudekezwa sana hawataki. Ukiwa-treat ki-nice guy wanakuona dhaifu. Hawa dawa yao ni kwenda nao kindava tu. Unakua soft kidogo na dikteta kidogo ndio mambo yataenda kwenye mstariTanzania wanachukulia kama masihara but elimu tumepata leo
Sawa kaka mkubwa nimekuelewa!Nakushauri tu
Kwa falsafa zako usiolewe
95% ya dhumuni la ndoa ni ngono
Kama hutaki ngono acha ndoa
Sipingi but kumbaka unatumia nguvu nopWanawake wetu wenyewe kudekezwa sana hawataki. Ukiwa-treat ki-nice guy wanakuona dhaifu. Hawa dawa yao ni kwenda nao kindava tu. Unakua soft kidogo na dikteta kidogo ndio mambo yataenda kwenye mstari
Elimu ipo siku nyingi tangu yale mambo ya 50/50 yaanze, hii imepelekea baadhi ya wanaume walio oa waajiriwa, wateseke kwenye ndoa zao.Tanzania wanachukulia kama masihara but elimu tumepata leo
Wengine nguvu zetu ni orijinoKila siku mmmh 😃
kuna wanaume wapumbavu sana, sidhani kama uyo mwanaume yupo tamamu sawasawa, uyo mwanaume si mtu sahihi kwa uyo dada !Akasema kuna kipindi anakuwa labda anaumwa au anajisikia vibaya, mume wake akimtaka na akimwambia hapana, basi mume huyo huwa anamkamata kwa nguvu na kumwingilia kwa nguvu na kwa ukatili wa hali ya juu.
Swadakta mkuuMwanaume anayo kesi ya kujibu hapo, na hapa ndipo wenzetu waislam walipotuacha mbali ktk Sheria zao za kuoa mke zaidi ya mmoja, sisi makanisani tunakatazwa kuoa wanawake wengi lakini wanaturuhusu kuoana mwanaume kwa mwanaume.
Upuuzi.
Ipo hiyo, wanaume waliozidiwa vyeo na wake zao, wanapata cha mtema kuni50/50 haipo ipo kwenye makaratasi tu kiuhalisia haipo
Swadakta mkuuMwanaume anayo kesi ya kujibu hapo, na hapa ndipo wenzetu waislam walipotuacha mbali ktk Sheria zao za kuoa mke zaidi ya mmoja, sisi makanisani tunakatazwa kuoa wanawake wengi lakini wanaturuhusu kuoana mwanaume kwa mwanaume.
Upuuzi.
Ujinga ujinga tu huwezi fanya hivyokuna wanaume wapumbavu sana, sidhani kama uyo mwanaume yupo tamamu sawasawa, uyo mwanaume si mtu sahihi kwa uyo dada !
ndio inabidi kutumia na mke wangu kila sikuZitumue vizury sasa
Nipe experience kwenye hilo hebu