Hivi unaweza kupata raha na Furaha ikiwa unaishi hapa Tanzania?

Hivi unaweza kupata raha na Furaha ikiwa unaishi hapa Tanzania?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kwa sisi watu wenye upendo ule wa ndani Kabisa

Je unawezaje Kupata Furaha huku umezingukwa na watu masikini wanaokosa mpaka kula yao ??
Binafsi Mimi Sina Furaha

Furaha ya kweli nikuzungukwa na watu wenye Maisha mazuri , walfare nk mbaya zaidi ninapoishi kwa nyuma kama mita 200 kuna wadada wanajiuza kwa buku moja , wanaonekana hawana Nuru wamechoka Sana

Hapa jirani namuona anamfukuza mke wake na mke anaomba nauli kwa watu ili arudi kijijini.

Ghafla namuona binti wa miaka 17 anatembea na mzee mwenye umri wa Babu yangu .

Hakika ni uchafu mtupu ili nipate Furaha nahiitaji kukaa mbali na hii sayari

Tujitahidi kutoa kwa wahitaji , Muda Mwingine unampa mtu miatano na anaenda kununu fegi daah roho inaumia Sana when I see this fucking life
 
Hapana hilo haliwezekani hadi uwe central Africa au somalia
 
Back
Top Bottom