Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh asee asante kwa kunifungua akili mzeeMashine inayoweza hifadhi mil 50 ikae nje?, alaf inaitwa Dubwi! Okay ngoja nikwambie kitu, miaka kama mowili nyuma kulikuwa na ka mtindo flani ka cheat kwenye zile mashine, ilikuwa inapigwa torch pale kwa juu alaf mzigo unajichanganya unatema.( sitatoa maelezo zaidi )
Ukiona unaitiwa fursa jua wewe ndio fursaWadau!
Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi mashine mtaani limenifanya nijiulize sana kuhusu mashine hizi.
Kwani zile hela zinakua mule ndani muda wote? Me nikajua ikifika usiku wanafunga hesabu wanatoa na hela hadi kesho yakeNilipita siku moja Polini nikakuta dubwi limevunjwa nadhani walitoa hela.
Walishindwa ng'oa kufuli.
Ndio hayo mkuu..Dumbwi ndio hayo MABONANZA ya wachina?
mhhh ka makampuni ya kubeti yalivyojaa..njia rahisi ya kupata pesaWadau!
Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi mashine mtaani limenifanya nijiulize sana kuhusu mashine hizi.
Machine inauzwaje?Ukiona mashine zinaongezeka maana yake wamiliki wa mashine wanapata faida sana. Ni sawa na kuongeza nyumba ya pili pale unapo ona kipato kimeongezeka. Ukitaka ufaidi hizo fedha na wewe miliki mashine uanze kula hela za wanao dhani dubwi linatema kama wewe.
bora hata umezungumza hili hivi kampuni lipi ni bora kubeti mpira na kasino?mhhh ka makampuni ya kubeti yalivyojaa..njia rahisi ya kupata pesa
nadhani ni madubwi 😅Machine inauzwaje?
Wachache wamekuelewaMashine inayoweza hifadhi mil 50 ikae nje?, alaf inaitwa Dubwi! Okay ngoja nikwambie kitu, miaka kama mowili nyuma kulikuwa na ka mtindo flani ka cheat kwenye zile mashine, ilikuwa inapigwa torch pale kwa juu alaf mzigo unajichanganya unatema.( sitatoa maelezo zaidi )