Utamjibu,niazime mtaji!Leo unakutaka na mtoto wa samia au mwiguru,wasira,kikwete,sirro,mwiguru,mombo na wengine wengi wabagazaji.
Ushauri wao kukupa matumaini wakikwambia maneno haya.
1.Achana na wazo la kuajiliwa jiajili.
2.Tunza pesa utafanikiwa.
3.Kuwa mvumilivu ndondo si chururu.
4.jikubari maisha ndiyo haya.
We utamjibu vipi