Hivi unaweza kutumia mifano ya wanadamu ili kutambua uwepo wa Mungu?

Hivi unaweza kutumia mifano ya wanadamu ili kutambua uwepo wa Mungu?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Salaam

Sheria ni mkusanyiko wa vifungu vinavyoetanabaisha hatua stahiki/sio stahiki katika utaratibu wa kulifanya jambo, lakini sheria hua na kawaida ya kugeneralize(jambo huelezewa kwa ujumla) mfano katiba ya nchi.

Je, mawazo ya sheria yanatako wapi?

Kimsingi wazo la sheria hutokana na tamaduni za watu wenyewe ikiwa jamii imeamua kwamba jambo fulani ni kosa basi jambo hilo ni kosa katika pande zote mbili(visible and unvisible releam).

Ni nani mtungaji wa sheria?

Kawaida tunajua kuwa mtunga sheria ni mtu mwenye uzoefu,ujuzi na akili ya jambo hilo,zamani watunga sheria walikuwa ni wazee ambao kawaida ni watu wenye uzoefu katika jamii(MKUSANYIKO WA WAZEE/BARAZA).

Swali langu?

Kwa fact hiyo Mungu anaweza kuwa na usaidizi?sheria nzake hubadilika?Mungu anafariki?

Je, Mungu hakuona dhumuni la kuleta pamoja dini na binadamu wakati mmoja?badala yake aliwaleta kwa nyakati tofauti?

Kwanini Mitume imefikia kikomo je, jamii yetu haifai kuwa na mitume? Mbona kizazi cha zamani kilikuwa na mitume?

MAJIBU TAFADHALI.
 
Namuabudu aliyeniumba, nachomuomba ananipa. Najua yupo, halali wala hasinzii. Ni Mkuu sana, Mungu Baba wa mbinguni.🙏
 
Back
Top Bottom