Imeshakupata au kutokea au huamini kama ipo kitu kama hii?au ni uzushi?
Unakuta jinsi unavyoendelea kuchat na mtu,kuwasiliana kwa simu hata kama hamjawahi kuonana au kuona picha yake unaweza ukafall in love.Au unakuta huyo mtu amekugusa tu hisia kwa maneno yake matamu.
HII KITU KIPO?
Husninyo hahahaha upo serious?mbona utanisababisha na mimi nifall
Imeshakupata au kutokea au huamini kama ipo kitu kama hii?au ni uzushi?
Unakuta jinsi unavyoendelea kuchat na mtu,kuwasiliana kwa simu hata kama hamjawahi kuonana au kuona picha yake unaweza ukafall in love.Au unakuta huyo mtu amekugusa tu hisia kwa maneno yake matamu.
HII KITU KIPO?
@the boss inakwaje baadaye ukikuta mnapenda but mkija kuonana huridhiki?
wazimu uko wa aina nyingi
usinielewe vibaya mpendwa sijamaanisha unachofikiriaShosti hahahaha kweli wazimu upo tena sana hayse