Badilisha taasisi nenda taasisi zenye weledi, customer care kujibu shit kuna uhusiano waa moja kwa moja na maslahi duniNawasalimu Kwa salamu zote halali, niende direct!
Hiviii, unajisikiaje unatafuta pesa Kwa shida, unahifadhi taasisi za kifedha au baada ya kazi ngumu posho inapitia moja ya taasisi ya kifedha.
Inatokea siku unaenda kufuatilia baadhi ya huduma kuhusu AC yako, unakutana na customer care chafu, inakujibu as if mtuhumiwa upo central.
Unahisi labda ni tawi moja lenye huduma mbaya unaenda mkoa mwingine unakutana na aina Ile Ile ya wahudumu.
Hivi hii inanikuta mimi pekee?
Achana na hao mbwa nenda kafungue account Equity Bank utakuja kunishukuruKuna dada mmoja reception alifanya hadi nikamuambia "We unaliw... nini?" kwa sauti ya juu watu wote pale bank mapokezi wakanigeukia ikabidi niondoke zangu baada ya kuona walinzi wanaanza kujivutavuta... Nilichukia sana kufanywa kama ninaenda kuomba hela zangu.