technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Leo kampeni zinaendelea wapi kwani mboni nawasha TV kimya km kuna msiba? Na jana zilikua wapi?Ingekuwa imegawanyika pasingekuwa hali shwari.
Wala hata huyo S asingepata ujasiri kwenda mwanza kuhutubia
Washa TBC 1 hapo, Samia yupo mbashara Mwanza.Leo kampeni zinaendelea wapi kwani mboni nawasha TV kimya km kuna msiba? Na jana zilikua wapi?
Nimewasha muda sio mrefu naona chengachenga tu na jana zilikua wapi?Washa TBC 1 hapo, Samia yupo mbashara Mwanza.
Mboni YouTube hamna kitu au hawarushi live tena?Washa TBC 1 hapo, Samia yupo mbashara Mwanza.
Kama unaona chenga basi endelea kujipa matumaini lakini tambua Samia yupo live kwenye kampeni Mwanza.Nimewasha muda sio mrefu naona chengachenga tu na jana zilikua wapi?
Nipasie channel ya YouTube inayoruka live muda huu nipe link nipo mbali na TV muda huuKama unaona chenga basi endelea kujipa matumaini lakini tambua Samia yupo live kwenye kampeni Mwanza.