hakuna watu wabaya kama mashabiki wa vyama,mimi si mshabiki wa chama chochote mimi ni mzalendo wa nchi yangu tanganyika na chama ninachiweza kukichagua(si ushabiki) ni hiki.
1.chenye wazalendo halisi(viongozi)
2.kinachoweza kulinda rasilimali za nchi hii.
3.kinachtaka kuongoza na si kutawala.
4.kinachochukizwa na ufisadi.
5.kisichokumbatia wageni.
6.kisichokumbatia wafanyabiashara wakubwa.
7.kinachoguswa na vijana kukosa ajira.
8.kinachozingatia miiko ya uongozi.
9.kinachoweza kuunda serikali inayolingana na mapato ya serikali.
10.kitakachosimamia haki za wananchi wake.
chunguza vyama vyote sijui kama unaweza kupata chenye sifa zote ila ccm haina swifa hata moja hapo.