Hivi Uongozi wa serikali ya CCM umeshindwa kutuletea katiba mpya?

Hivi Uongozi wa serikali ya CCM umeshindwa kutuletea katiba mpya?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Sasa kama hili limeshidikana ccm kuwaamini kwa LIPI jamani? Hivi wanashawishi nani huyo asiyejitambua kuwapa kura?
Sizungumzi huduma za kijamii ambazo hata watoto wadogo wa shule za msingi wakaokaa Chini wanakijua hilo tatizo.
 
Hilo swali lako jibu unalo mwenyewe!Katiba mpya sio ya CCM, USITARAJIE CCM ndo ikuletee katiba mpya utakua umeliwa!
 
Back
Top Bottom