MAHANJU JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 5,252 Reaction score 8,003 Sep 15, 2015 #1 Sasa kama hili limeshidikana ccm kuwaamini kwa LIPI jamani? Hivi wanashawishi nani huyo asiyejitambua kuwapa kura? Sizungumzi huduma za kijamii ambazo hata watoto wadogo wa shule za msingi wakaokaa Chini wanakijua hilo tatizo.
Sasa kama hili limeshidikana ccm kuwaamini kwa LIPI jamani? Hivi wanashawishi nani huyo asiyejitambua kuwapa kura? Sizungumzi huduma za kijamii ambazo hata watoto wadogo wa shule za msingi wakaokaa Chini wanakijua hilo tatizo.
Kinjekitile junior JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 4,404 Reaction score 581 Sep 17, 2015 #2 Hilo swali lako jibu unalo mwenyewe!Katiba mpya sio ya CCM, USITARAJIE CCM ndo ikuletee katiba mpya utakua umeliwa!
Hilo swali lako jibu unalo mwenyewe!Katiba mpya sio ya CCM, USITARAJIE CCM ndo ikuletee katiba mpya utakua umeliwa!