Hivi upi ni uchumi endelevu kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nilikuwa najiuliza maswali haya.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii.
Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo.
Nataka kuwauliza wenzangu.

Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

Naombeni majibu ndugu zangu
 
Lete watalii waje waone namna mnyama Simba anavyo lala na mmasai kwenye nyumba moja,halafu ukiuza wanyama wote watoto wenu Wataona wapi,wajukuu zenu watafaidika vipi na hii nchi yaani kizazi hiki kinaonekana kinawashwa
 
Sasa kila kitu tunataka kufanya kinyume na magufuri
 
Lete watalii waje waone namna mnyama Simba anavyo lala na mmasai kwenye nyumba moja,halafu ukiuza wanyama wote watoto wenu Wataona wapi,wajukuu zenu watafaidika vipi na hii nchi yaani kizazi hiki kinaonekana kinawashwa
Jibu swali mkuu, kama linavyouliza
 
Uchumi endelevu unajua wewe, watawala tulionao hawana habari na hiyo kitu, sababu tunaongozwa na ilani za vyama vya siasa.
 
Lete watalii waje waone namna mnyama Simba anavyo lala na mmasai kwenye nyumba moja,halafu ukiuza wanyama wote watoto wenu Wataona wapi,wajukuu zenu watafaidika vipi na hii nchi yaani kizazi hiki kinaonekana kinawashwa
Umeongea upuuzi... mmasai ni nguo tu.. mkiwa uchi wote mnafanana... kavae na ww kimasai ulale na simba....
 
Vyote ni uchumi endelevu,inategemea unaangalia kwenye angle gani.Mazao ya asili yana matumizi mbalimbali kulingana na mahitaji.Cha msingi nikuangalia hitaji lako ni lipi.Utalii nizaidi ya kua na wanyama,ndo maana pamoja na sisi kua na aina mbalimbali za wanyama na hifadhi za taifa nyingi bado hatupati wageni wengi kuliko kenya.Chamsingi nikuangalia jambo unalolifanya linanufaishaje nchi kwa maendeleo endelevu.
 
Ni kwasababu hatujui kuwatangaza, nadhani.
 
Nilikua najiuliza maswali haya.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii.
Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo.
Nataka kuwauliza wenzangu.

'Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?"

Naombeni majibu ndugu zangu
Bora wauzwe wote na kila raia akopeshwe afanye biashara
 
Back
Top Bottom