Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Jibu swali mkuu, kama linavyoulizaLete watalii waje waone namna mnyama Simba anavyo lala na mmasai kwenye nyumba moja,halafu ukiuza wanyama wote watoto wenu Wataona wapi,wajukuu zenu watafaidika vipi na hii nchi yaani kizazi hiki kinaonekana kinawashwa
Jibu swali kama, linavyotaka usizungumze watu, nenda kwenye hojaSasa kila kitu tunataka kufanya kinyume na magufuri
Umeelewa swali?
Daaaah, waafrika tunamatatizo.Uchumi endelevu unajua wewe, watawala tulionao hawana habari na hiyo kitu, sababu tunaongozwa na ilani za vyama vya siasa.
Umeongea upuuzi... mmasai ni nguo tu.. mkiwa uchi wote mnafanana... kavae na ww kimasai ulale na simba....Lete watalii waje waone namna mnyama Simba anavyo lala na mmasai kwenye nyumba moja,halafu ukiuza wanyama wote watoto wenu Wataona wapi,wajukuu zenu watafaidika vipi na hii nchi yaani kizazi hiki kinaonekana kinawashwa
Lete hoja yakoUmeongea upuuzi... mmasai ni nguo tu.. mkiwa uchi wote mnafanana... kavae na ww kimasai ulale na simba....
Ni kwasababu hatujui kuwatangaza, nadhani.Vyote ni uchumi endelevu,inategemea unaangalia kwenye angle gani.Mazao ya asili yana matumizi mbalimbali kulingana na mahitaji.Cha msingi nikuangalia hitaji lako ni lipi.Utalii nizaidi ya kua na wanyama,ndo maana pamoja na sisi kua na aina mbalimbali za wanyama na hifadhi za taifa nyingi bado hatupati wageni wengi kuliko kenya.Chamsingi nikuangalia jambo unalolifanya linanufaishaje nchi kwa maendeleo endelevu.
Bora wauzwe wote na kila raia akopeshwe afanye biasharaNilikua najiuliza maswali haya.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii.
Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo.
Nataka kuwauliza wenzangu.
'Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?"
Naombeni majibu ndugu zangu
Akili zingine bhanaaBora wauzwe wote na kila raia akopeshwe afanye biashara